
Rich Auntie ChatsHow M-Wekeza is Reshaping Investment for Everyday Tanzanians
Jun 8, 2025 · 54:55
Je, unatafuta njia salama, rahisi na isiyo na presha ya kuwekeza huku ukiendelea na maisha yako ya kila siku? Katika kipindi hiki, tunachambua kwa undani M-Wekeza; jukwaa la uwekezaji lililoanzishwa kwa ushirikiano kati ya Vodacom na Sanlam, linaloweka nguvu ya uwekezaji mikononi mwa Mtanzania wa kawaida.Mgeni wetu Jacqueline Temu, mshauri wa fedha na mtaalamu wa kibenki, anafafanua:Jinsi M-Wekeza…